Advertisement |
Hiki Ni Kikosi Cha Arsenal Kilichoibuka Na Ushindi wa Goli 2-1 Dhidi Ya Leicester City
Liverpool imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa usiku huu katika dimba la Anfield jijini Liverpool.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Lazar Markovic dakika ya 15, Steven Gerrard dakika ya 53 kwa mkwaju wa penati na Mario Balotelli akifunga bao la ushindi dakikaya 83.
Mabao ya Tottenham yamefungwa na Harry Kane dakika ya 26 na Moussa Dembele dakika ya 61.
Kwa matokeo hayo Liverpool imefikisha pointi 42 na kupanda hadi nafasi ya 7 Wakati Tottenham wakishushwa na Arsenal hadi nafasi ya 6 wakiwa na point 43, na Arsenal imesogea hadi nafasi ya 4 na point 45.
Matokeo ya mechi nyingine za usiku wa leo ni:-
Arsenal 2 - 1 Leicester City (Koscielny 27 na Walcott 41)
Hull City 2 - 0 Aston Villa
Sunderland 0 - 2 Queens Park Rangers

0 Post a Comment: