Advertisement |
Huu ni umati mkubwa wa wananchi wa Ivory Coast Jijini Abidjan Baada
Ya Kutwaa Ubingwa-AFCON 2015. Nina uhakika ikitokea Tanzania tukachukua
ubingwa huu itakua ni zaidi ya hapa
Hii ni baada ya kutwaa ubingwa huu waliokua wakiutafuta kwa muda mrefu. Hii ni mara ya pili kwa Ivory Coast kutwaa taji hili.
Kwa upande wao Ghana imekua ni kilio. Imekua ni vigumu sana kwa Adre Ayew kuamini kilichotokea na kujikuta akimwaga machozi muda mwingi baada ya kukosa taji.
Kwa mara ya mwisho Ghana kuchukua ubingwa wa AFCON ni 1982. Mwaka 1992 Ghana walikutana fainali na Ivory Coast pia na walishindwa kuchukua ubingwa. Mwaka huu 2015 walidhamiria kulipa kisasi kwa Ivory Coast lakini imeshindikana. Abedi Ayew Pele, baba yake dede,alikua ni miongoni mwa waliounda kikosi cha Ghana mwaka 1992 kilichoshindwa kunyakua ubingwa mbele ya Ivory Coast.

0 Post a Comment: