Advertisement |
Mchezaji
wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa
timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la
Shirikisho Barani Afrika uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es
salaam leo.Yanga imeshinda bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji
Hamis Tambwe dakika ya kwanza ya mchezo na 55.
Golikipa
wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa
ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani
Afrika uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam jana.Yanga
imeshinda bao 2 - 0.
Winga
machachari wa Yanga,Saimon Msuva akiangalia namna ya kumtoka beki wa
timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana,Othusitse Mpharitlhe wakati wa
Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa
Taifa jini Dar es salaam jana.Yanga imeshinda bao 2 - 0.
Beki wa Yanga,Mbuyu Twite akirusha mpira kwa ustadi mkubwa.
Mchezaji
wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichezesha ngome ya timu ya
BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe la Shirikisho
Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam jana.
Kiungo
mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akichanja mbuga mbele ya
mabeki wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe
la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es
salaam jana.
huchukui mpira hapa.....
Mashabiki
wa timu ya Yanga wakishangilia katika mtanange wa Kombe la Shirikisho
Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam jana.
Mashabiki
wa timu ya Yanga wakishangilia katika mtanange wa Kombe la Shirikisho
Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.
Waamuzi wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam leo kati ya Yanga na
BDF XI FC
.
0 Post a Comment: